Saturday, September 11, 2010

Mkutano wa FOS - LEO

Wana FOS - Friends of Slaa - Marafiki wa slaa

Tunakutana leo Saa Kumi Jioni - Hoteli ya Land Mark Ubungo Kujadili Mikakati ya Dr Slaa Kuyafikia Makundi Fulani Maalumu atakapokuwa DAR Kwa Vikao maalumu vya Kichama

Friendsofslaa@gmail.com 0786 806028

0 comments:

Post a Comment