Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali na vifaa mbalimbali, ikiwa ni ishara ya kumpokea mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, alipowasili kwenye Uwanja wa Sabasaba
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Tarime, katika mkutano wa kampeni, kwenye Uwanja wa Sabasaba
0 comments:
Post a Comment