Thursday, September 16, 2010

CHADEMA NA OPERESHENI SANGARA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa jiji la Tanga, katika mkutano wa
hadhara wa uzinduzi wa Operesheni Sangara, uliofanyika katika
Uwanja wa Tangamano jana jioni.
Mkurugenzi wa Vijana wa CHADEMA Mh. John Mnyika akiwahutubia maelefu ya wakazi wa jiji la Tanga, katika mkutano wa uzinduzi wa Operesheni Sangara,
uliofanyika katika Uwanja wa Tangamano
Helikopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, ilipotua katika Uwanja wa
Tangamano jijini Tanga, ambako ulifanyika mkutano wa uzinduzi wa
Operesheni Sangara . Picha na mdau Joseph Senga

0 comments:

Post a Comment