Thursday, September 16, 2010

CHADEMA NA OPERESHENI SANGARA

Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, akihutibia katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Sangara katika viwanja vya Kwasakwasa mjini Same mkoani Kilimanjaro. Picha na Joseph Senga

0 comments:

Post a Comment