Friday, September 24, 2010

DR SLAA ALIVYOFUNIKA

Mgombea urais  kupitia tiketi ya  Chama cha Demokrasia na  Maendeleo(CHADEMA) Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wakazi wa Babati  Mjini mkoani Manyara katika mkutano wa kampeni jana. (Na Mpiga Picha  Wetu). Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wakazi wa Babati Mjini mkoani Manyara katika mkutano wa kampeni . (Na Mpiga Picha Wetu).

Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema),  Dkt.Wilbrod Slaa, akizungumza  na wakazi wa Dar es Salaam waliofika  katika viwanja vya Jangwani kumsikiliza. (Picha na Yusuf Badi) Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Dkt.Wilbrod Slaa, akizungumza na wakazi wa Dar es Salaam (Picha na Yusuf Badi)

0 comments:

Post a Comment