Thursday, September 16, 2010

Dr slaa Alivyotingisha sirari na tarime

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Tarime, katika mkutano wa kampeni, kwenye Uwanja wa Sabasaba leo.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiongozana na mgombea ubunge katika jimbo la Tarime kupitia Chama hicho, Mwita Mwikwabe Waitara, baada ya mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Sirari mjini Sirari leo. (Picha na Joseph Senga)

0 comments:

Post a Comment