Thursday, September 16, 2010

KAMPENI ZA DR SLAA 2010


Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali na vifaa mbalimbali, ikiwa ni ishara ya

kumpokea mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, alipowasili kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Tarime, katika mfululizo wa kamepni zake

Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakimpokea mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Tarime jana. (matukio haya yote kutoka kampeni za DR. Slaa yametumwa na mpigapicha mkuu wa gazeti la Tanzania daima Bw. Joseph Senga)

0 comments:

Post a Comment