Saturday, September 25, 2010

CHAGUA CHADEMA CHAGUA HALIMA MDEE



Mbunge na Madiwani


Mgombea Ubunge wa jimbo la kawe Halima Mdee
akitoka katika moja ya vikao vya ndani alivyo fanya
na wananchi wa kata ya Msasani

1 comments:

Anonymous said...

Dada Halima sote tunakukubari,wewe ni taswira ya mwanamke halisi ,mtetezi,mwenye msimamo,asiyeyumbishwa.Ulipaswa kupita bila kupingwa.Utapita tu ,dont worry.Kwa umri wako endeleza harakati utafika mbari sana kisiasa na utakomboa sio tu wanawake bali taifa kwa ujumla.Usikubali vishawishi vya njoo CCM mambo yakunyokee,angalia Warid Kabouru alivyojizika kisiasa na CCM yake,najua huna njaa/huendekezi njaa na utabaki CHADEMA.

Post a Comment