Thursday, September 9, 2010
Slaa akata anga Usukumani
Leo Dk Willibrod Slaa ameingia mkoani Shinyanga kusaka kura za urais. Na  Chopper yake imeanza kazi upya baada ya kufanyiwa matengenezo madogo  kwa siku nne zilizopita. Habari nyingine baadaye.
Changia FOS Kwa Mpesa +255766334049 au friendofslaa@gmail.com
0 comments:
Post a Comment