Tuesday, September 21, 2010

Michango zaidi ya Kampeni

Napenda kuwajulisha Tena kwamba michango zaidi kwa ajili ya DR W P SLAA inahitajika kwa ajili ya Kampeni zinazoendelea nchini Kote .

Anuani ni M-PESA 0763 177737 ZAP 0787 658125 NMB a/c # 3032502120 CRDB a/c #12062207300

Kama Uko nje ya Nchi na ungependa kuchangia kwa njia nyingine wasiliana nasi kupitia friendsofslaa@gmail.com

Karibu sana katika kufanikisha Ushindi kwa DR W P SLAA Na Ukombozi wa Kweli wa Mtanzania

0 comments:

Post a Comment