Friday, September 17, 2010

zitto kabwe alivyounguruma huko mjini kigoma

Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh Zitto Kabwe alipokuwa akihutubia kwenye mkutano wa kumi katika vijiji mbalimbali ikiwemo kijiji cha Kagunga na Zashe kata ya Kagunga,Mjini Kigoma hivi karibuni.



0 comments:

Post a Comment