Friday, September 24, 2010

KAMPENI ZA UBUNGE NA UDIWANI MBEYA

Akina mama wa Itende wakisalimiana na mgombea ubunge Joseph Mbilinyi
Wananchi wa Nsalaga wakisikiliza kwa makini katika mkutano
Mgombea wa ubunge Joseph Mbilinyi akizungumza na wananchi

Wananchi wa Nsalaga wakisikiliza kwa makini sera za CHADEMA jijini Mbeya
Kulia ni mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mbeya na Wana CHADEMA akibadilishana mawazo katika moja ya mikutano ya kampeni jijini Mbeya
Mkereketwa wa CHADEMA akiwa amebandika picha ya kampeni katika shati lake kama alivyokutwa maeneo ya Ilemi darajani huku akiwa ameshika kadi ya kupigia kura mkononi

G SOLO akiimba pamoja na umati mkubwa wa watu katika moja ya mikutano ya kampeni za mgombea ubunge bwana Joseph Mbilinyi
Akina mama hawa walisimamisha gari ya mgombea ili wampe baraka zao Joseph mbilingi ( SUGU )

Sugu akifika eneo la mabatini

Umati wa watu waliofika kumsikiliza sugu

Mmoja wa Kamanda wa CHADEMA akiongea na wananchi

Bwana Joseph Mbilinyi akiongea na wananchi wa Mabatini

Hapa Msafara wa Joseph Mbilinyi ukipita katika jiji la Mbeya mjini
Hapa akinadiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya
Wananchi wakipunga mkono kudhiirisha kumkubali Sugu kuwa Mbunge wao
Makamanda wa CHADEMA wakiweka njia kwa ajili ya Sugu kupita
Moja ya Gari linatumika kwa PA katika kampeni za Sugu

Wananchi wa Mwansekwa waki mkaribisha Mheshimiwa JOSEPH MBILINYI
JOSEPH MBILINYI (Mr II ) aki hutubia wananchi
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya nae alikuwa na jambo la kuzungumza na wananchi
Hapa Mr Mbwembwe ali kua akitoa buruda ni kwa wakazi wa mwansekwa
POLICE pia wali kuwepo eneo la mkutano iliku hakikisha usalama unakuwa ni wakutosha

0 comments:

Post a Comment