Tuesday, September 21, 2010

Wagombea Ubunge na Udiwani Morogoro na Dar es salaam

Mnyika akimnadi na Mgombea Udiwani Kata ya Sinza kupitia CHADEMA Bwana PAMBA Renatus Jukwaani jana katika mkutano huo Mh. Mabere Marando naye alikuwepo kumnadi Mnyika na kuwasilisha ujumbe toka kwa Mgombea Uraisi kupitia CHADEMA Dr Slaa
Nyomi la wajanja wa Sinza wanaliofika mkutanoni ,wakisikiliza Sera Makini za Mnyika.

0 comments:

Post a Comment