Thursday, September 23, 2010

DR SLAA ALIVYOVUNJA REKODI KILIMANJARO

Mapokezi makubwa kwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chadema Dr.Willibrod Slaa leo mjini Moshi Kilimanjaro
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (.CHADEMA), Freeman Mbowe, akiwaongoza maelfu ya wakazi wa mji wa Moshi kulia kilio cha umasikini, wakati alipohutubia mkutano wa kampeni za mgombea wa urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa.
Mgombea ubunge wa jimbo la Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, akiwahutubi maelfu ya wakazi wa mji wa Moshi, waliojitokeza katika mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa.Picha kwa hisani ya Joseph Senga wa Tanzania Daima

0 comments:

Post a Comment