Wednesday, September 15, 2010

Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe Halima Mdee





Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe Bi.Halima Jams Mdee akirudisha fomu yake ya kugombania ubunge wa jimbo hilo kwa Msimamizi msaidizi wa Uchaguzi Bw. Onesmo Kweyamba


Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kawe,Halima Mdee



Mbunge wa Kinondoni (kushoto) Idd Azzan akibadilishana mawazo na mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Halima Mdee .

Wakazi wa jijini na wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakishangilia wakati Mgombea urais wa chama hicho,Dk. Willibrod Slaa, alipokuwa akihutubia katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho Dar es Salaam uliofanyika viwanja vya Jangwani.
Mgombea ubunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika jimbo la Kawe Halima Mdee akichangisha fedha kwa wanachama na mashabiki wa chama hicho leo kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni wa chama hicho ambapo mgombea urais wa CHADEMA Wilbroad Slaa alihutubia katika mkutano huo wa hadhara.

.
Umati wa wanachama wa chama cha Maendeleo na Demokrasia CHADEMA ukiwa umefirika kwenye viwanja vya Jangwani leo katika uzinduzi wa kampeni za Chama hicho ambapo Mgombea wa urais wa chama hicho Wilbroad Slaa alihutubia mkutano .

0 comments:

Post a Comment