Saturday, September 11, 2010

Kampeni za CHADEMA Jimbo la Njombe

Mgombea ubunge wa jimbo la Njombe Magharibi kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema) Bw.Thomas Nyimbo akiwaeleza wananchi wa kata ya Ilembula na kata za jirani ambao walifika katika uzinduzi wa kampeni zake za ubunge Mgombea ubunge jimbo la Njombe Magharibi Bw Thomas Nyimbo ( wa pili kushoto) akiingia katika viwanja vya uzinduzi wa Kampeni za ubunge kata ya Ilembula leo huku akisindikizwa na umati wa wananchi wa jimbo hilo Mgombea ubunge jimbo la Njombe kaskazin Alatanga Nyagawa akiwa katika mazungumzo na mgombea mwenzake ubunge kupitia Chadema Thomas Nyimbo (kulia) wote hawa walikuwa makada wa CCM ambao walihama CCM
Wagombea wa CHADEMA wa Njombe wakiangalia burudani toka kwa wasanii

0 comments:

Post a Comment