Monday, September 13, 2010

Chadema kata ya mzimuni

Mgombea Udiwani katika kata ya Mzimuni,Hassan Yahya Husein akiwa katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kata yake ya mzimuni akimwaga sera za jinsi ya kuwaletea maendeleo wakazi wa Kata hiyo

0 comments:

Post a Comment