Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini,kwa chama cha CHADEMA,Mh Zitto Kabwe jana alianza rasmi mzunguko wa nchi nzima kuwasaidia wagombea Ubunge na Udiwani wa CHADEMA katika majimbo na Kata zao.Jana alikuwa mjini Kibaha akimnadi mgombea Ubunge kwa jimbo hilo la Kibaha Mjini ,Bw.Habibu Mchange.
Jimbo: KIBAHA MJINI
Tarehe: 18-09-2010
Mgombea: HABIBU MCHANGE
0 comments:
Post a Comment