Friday, September 24, 2010

MKUTANO WA WANAFOS JUMAMOSI 25

NAPENDA KUWAKARIBISHA KWENYE MKUTANO WA FOS KESHO JUMAMOSI TAREHE 25

MAHALI : LANDMARK HOTEL UBUNGO

MUDA : KUANZIA SAA 10 JIONI

KWA MAWASILIANO ZAIDI

UKIFIKA PIGA NAMBA 0786 806028

EMAIL : FRIENDSOFSLAA@GMAIL.COM
- BADO TUNAHITAJI MCHANGO WAKO WA FEDHA NA MAWAZO KWENYE KUENDESHA KAMPENI ZA DR SLAA –

TOVUTI YETU NI
WWW.MARAFIKIWASLAA.BLOGSPOT.COM
WWW.FRIENDSOFSLAA.BLOGSPOT.COM

0 comments:

Post a Comment