Tuesday, September 28, 2010

CHAGUA HALIMA MDEE CHAGUA CHADEMA KAWE

Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe,Bi Halima Mdee akimtambulisha jukwaani mama yake mzazi katika moja ya mikutano yake ya kampeni uliofanyika Mbezi Tanki Bovu Jumapili ya jana.Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe,Bi. Halima Mdee akiwahutubia wakazi wa Mbezi katika mkutano wake wa kampeni katika kitongoji hicho jana.Umati mkubwa ulifuriak kusikiliza sera za mgombea wao kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana Mbezi tanki bovu,jijini Dar.

kwa habari na picha zaidi za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CHADEMA
BOFYA HAPA.

0 comments:

Post a Comment