Tuesday, August 24, 2010

siku 10 zaongezwa kwa urudishaji wa fomu za gharama za uchaguzi

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Bw. John Tendwa akiongea na waandishi wa habari kuhusu Sheria ya Gharama za uchaguzi leo jijini Dar es salaam ambapo ameongeza muda wa siku 10 kwa vyama vya siasa kurejesha fomu zinazoonyesha matumizi ya fedha wakati wa kampeni na vyanzo vyao vya mapato, na kuvitaka vyama ambavyo havijakamilisha ujazaji wa fomu hizo kukamilisha zoezi hilo kwa mujibu wa sheria kabla ya tarehe 6, Septemba.
(Picha na Aron Msigwa – MAELEZO)

0 comments:

Post a Comment