Wednesday, August 18, 2010

JK na Dr Bilal wasaini tamko la kisheria kuthibitisha usahihi wa taarifa katika fomu za ugombea Urais

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgombea Mwenza Dr. Mohamed Gharib Bilal wakisaini tamko la Kisheria linalothibitisha usahihi wa taarifa alizozitoa kwenye fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku Jaji Mkuu Agostino Ramadhani akishuhudia.Tamko hilo lilisainiwa leo asubuhi na kukabidhiwa ofisini kwa Jaji Mkuu jijini Dar es Salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Jaji Mkuu Agostino Ramadhani tamko la kisheria linalothibitisha usahihi wa taarifa alizotoa kwenye fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ofisini kwa Jaji mkuu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Anayeshuhudia kulia ni mgombea

0 comments:

Post a Comment