Monday, August 30, 2010

DR SLAA MTWARA

Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akihutubia umati wa wakazi wa Mtwara alikoenda kutafuta udhamini sehemu ya umati mkubwa wa wakazi wa Mtwara mkutanoni hapo
Mmoja wa wanachama waandamizi wa CHADEMA
Bw. Saidi Arfi akisabahi wakazi wa Mtwara

Mh. Chiku Abwao akisalimia wakazi wa Mtwara.
Mh. Mabere Marando akiongea wakati wa mkutano huo
Picha zote ni kwa hisani ya mwana libeneke wa

0 comments:

Post a Comment