Wednesday, August 25, 2010

Jiunga na kampeni yetu. Uwe sehemu ya mabadiliko.



Ili tuweze kuleta mabadiliko tunayoyakusudia tunahitaji michango ya kila namna kwa chama na kwa wagombea wetu mbalimbali. Tunashindana na chama chenye uwezo mkubwa mno wa kiuchumi. Kila mchango kidogo unasaidia kupunguzia pengo kubwa uwiano kati yetu na CCM. Tafadhali changia kwa kadiri uwezavyo.


Mfuatilia Dr Slaa Kwa Facebook http://www.facebook.com/WilbrodSlaa

0 comments:

Post a Comment