Thursday, August 19, 2010

JK na Dk Bilali warejesha fomu

JK na Dk Bilali warejesha fomu
JK na Dk Ghalib Bilali wakiwa wameshikana mkono baada ya kurejesha fomu za kuwania kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu ujao katika Tume ya Uchaguzi jijini Dar leo. CCM ndio ilikuwa ya kwanza kurejesha fomu hizo. Kwa leo vyama vinavyorejesha fomu ni kama ratiba inavyoonesha hapo chini. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii



1 comments:

Anonymous said...

WTF? Mambo gani yanaendelea hapa, picha za JK zinafanya nini hapa?

Post a Comment