Tuesday, August 10, 2010

Maoni - Mdahalo Wa Wagombea Uraisi Tanzania 2010

Kumekuwa na Maoni Mengi kuhusu kufanyika Mdalaho wa wagombea Urais
Hapa Tanzania ili watu na wengine waweze kuwahoji maswali ili kuweza
kujua hili na lile kabla ya Kuamua kuwapigia Kura wagombea Uraisi
hao .

Mimi nina wazo moja Tuangalie kama tunaweza kuandaa mdahalo huu kwa
njia ya Mtandao Yaani uwe kati ya wanabidii na wagombea hao kwa sasa
Tuna mawasiliano ya Wagombea 3 Wa Uraisi Tanzania Bara na 1 Visiwani

Prof Haruna Lipumba - CUF
Dr W P Slaa - CHADEMA
Peter Kugi Mziray - PPT MAENDELEO
Dr Mohamed Shein - CCM ZANZIBAR .

Kama tunaweza kuweka Utaratibu mzuri wa kueleweka tunaweza kuandaa
mdahalo Huu kwa kuandaa siku maalumu na Muda maalumu kwa ajili ya kitu
hicho Muhimu kwa Nchi Yetu .

CHANZO
[wanabidii] Maoni - Mdahalo Wa Wagombea Uraisi Tanzania 2010

0 comments:

Post a Comment