Mgombea Urais kwa tikieti ya CHADEMA, DK. Slaa akipungui mkono mashabiki waliofika katika viwanja vya Jangwani leo kumsikiliza katika mkutano wa kuomba udhamini kwa wakazi wa Dar e salaam
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akisalimia wafuasi wake wakati akiingia katika viwanja vya Jangwani
Wafuasi wa Chadema wakiwa katika mstari wa kuwapokea viongozi wao
vifijo na nderemo zilitawala
ujumbe kutoka kwa 'wana vyuo' vikuu
vijana wa Chadema, akiwemo msanii Mr. II 'sugu' (kati) na Mkoloni (kulia)
..viongozi wakipokewa kwa furaha
safu ya viongozi katika mkutano wa Jangwani leo
Dk Slaa na Mbowe wakiteta jambo
sehemu ya umati uliohudhuria
1 comments:
wengi tunamkubali dr. ila kwa maoni yangu naomba aachane na huyo mke wa mtu hata kama aliachwa au kutengana na mumewe, na aangalie mtu wa kumfaa zaidi asiye na dosari. tunaomba aliangalie hilo japokuwa ni hisia zake binafsi na si katika uongozi wake tunaouhitaji.
Post a Comment