Wednesday, August 25, 2010

JK ndani ya bukoba


JK akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Bukoba mjini,Bw. Hamis Kagasheki katika kampeni za uchaguzi mkuu anazoendelea kuzifanya mikoani.
JK akimsikiliza mgombea ubunge wa jimbo la Bukoba Vijijini,Bw. Jasson Rweikiza alipokuwa anawatubia wakazi wa kijiji hicho mara baada ya kunadiwa.
Sehemu ya umati mkubwa wa wana CCM na wapenzi wa chama hicho wakimsikiliza JK katika mkutano huo uliofanyika katika uwanja wa Mashujaa.
JK akiwa katika picha ya pamoja na wagombea ubunge na udiwani wa Bukoba.
Kinamama wa Bukoba mjini wakimshangilia JK alipokuwa akihutubia umati wa wana Bukoba katika uwanja wa Mashujaa.

0 comments:

Post a Comment