Tuesday, August 10, 2010

Dk. Wilbroad Slaa achukua fomu tume ya uchaguzi tayari kugombea Urais

Dk. Wilbroad Slaa achukua fomu tume ya uchaguzi tayari kugombea Urais

Kwa video hii (ya TBC1) na nyingine kibao BOFYA HAPA

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Makame kimkabidhi Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe fomu za mgombea Urais wa Chama hicho leo mchana katika ofisi za tume jijini Dar. Nyuma ya Mh. Mbowe ni katibu mkuu wa CHADEMA ambaye atagombea Urais

Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akitoka Tume ya Uchaguzi leo baada ya kuchukua fomu tayari kwa kuanza kinyang'anyiro hicho

DK.Wilbrod Slaa ambaye ni mgombea wa urais kupitia chama cha Chadema akipongezana na mgombea mwenza Hamis Mzee Hamisi baada ya kukabiziwa fomu na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Lewis Makame .katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Fremon Mbowe.
Picha na Pwaniraha.com

0 comments:

Post a Comment