Saturday, August 14, 2010

Je! Vyama vya upinzani vina nguvu kiasi gani katika siasa za Afrika Mashariki na Kati?

BBC SWAHILI YAONGEA NA WACHAMBUZI MASUALA YA UCHAGUZI
Siku Jumatano ya tarehe 11 Agosti 2010 nilipata fursa ya kusikiliza Dira ya BBC na kuwasikia viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa kwa nchi za Afrika Mashariki wakizungumzia masuala ya vyama na uchaguzi.

Mada ilikuwa, "Je! Vyama vya upinzani vina nguvu kiasi gani katika siasa za Afrika Mashariki na Kati?"

Wawakilishi katika mada na mahojiano hayo walikuwa:

Salim Kikeke na Zawadi Machibya - BBC Swahili
Pius Msekwa - Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania
Ababu Namwamba - Orange Democratic Movement (ODM) Kenya
Rubaramira Ruranga - Forum for Democratic Change (FDC) Uganda
Jenerali Twaha Ulimwengu - Mwandishi wa habari na mchambuzi wa siasa

Da'Subi wa www.wavuti.com alirekodi mazungumzo hayo kama unavyoweza kuyasikia kwenye pleya inayofuata.

0 comments:

Post a Comment