: PHILLIP NYANCHINI MOGENDI, PMP
NIMEFANIKIWA KUWA MGOMBEA WA KITI CHA UBUNGE WA JIMBO LA KINONDONI, DAR-ES-SALAAM KUPITIA TIKETI YA CHADEMA.
NILIZALIWA WILAYANI KINONDONI, NIKASOMA CHUO KIKUU CHA DAR-ES-SALAAM, NIMEJENGA WILAYANI KINONDONI NA NAISHI WILAYANI KINONDONI PIA.
BOFYA HAPA
KUENDELEA NA HABARI HII
1 comments:
mzee hongera kwa kujitokeza
lakini sijui kama unaubavu wa kushindana na idi azan. lakini bado sijui kama wanakinondoni wanakuamini.
tembelea www.jktu2010.blogspot.com
Post a Comment