Friday, September 24, 2010
MAMBO YA KAMPENI 2010
Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Kampeni ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Prof. Mwesiga Baregu (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatma ya chama hicho juu ya uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa kutupilia mbali malalamiko ya chama hicho dhidi ya mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete. Kushoto ni mwanachama, Mabere Marando na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Baraza la Vijana wa Chama hicho (BAVICHA), John Mnyika. (Picha na Fadhili Akida).
1 comments:
Heko Mkombozi wa watanzania Dr. Slaa, si kwamba tuko nyuma yako bali tuko pamoja nawe bega kwa bega, hatua kwa hatua. Mwenyezi Mungu atusaidie kufungua nyoyo za watanzania ili wajue kwamba Tanzania bila unyonyaji wa wayonge na ufujaji mali za umma inawezekana tutakapokupa kura zetu za NDIYO!!
Mungu akubariki. Conny B. (Bukoba)
Post a Comment