
Dk. Willibrod Slaa akihutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Kahama mjini Kahama, mkoani Shinyanga jana jioni.

Dk.  Willibrod Slaa akisalimiana na baadhi ya watawa waliohudhuria  mkutano  wa kampeni zake kwenya Uwanja wa Sabasaba mjini Nzega jana  asubuhi.

Dk. Willibrod Slaa akihutubia katika mkutano wake wa kampeni kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Nzega, Tabora.
 
 
0 comments:
Post a Comment