Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo kwa kupitia CHADEMA Ndugu John Mnyika akihutubia Jukwaani SInza Palestina Jumapili iliyopita.
Mnyika akimnadi mgombea Udiwani kata ya SInza Ndugu Renatus PambaMnyika akisalimia wakazi wa sinza alipozungukia mitaa mbali mbali na Msafara wake
Mnyika akiendelea kuwasalimia wakazi wa sinza na kuomba kura zao .
0 comments:
Post a Comment