Thursday, October 21, 2010

CHAGUA NORBART YAMSEBO CHAGUA CHADEMA SUMBAWANGA MJINI

Naibu katibu kuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema)Taifa Bw Zitto Kabwe (kulia) akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Sumbawanga mjini mkoani Rukwa Mwalimu Norbart Yamsebo wakati wa kampeni za Chadema mjini Sumbawanga

0 comments:

Post a Comment