Wednesday, October 20, 2010

Dr. SLAA KATIKA MKUTANO MKUBWA MASWA MJINI VIWANJA VYA NGUZO NANE

Dr.Slaa amemaliza kuhutubia mkutano mkubwa wilayani maswa akijumuisha majimbo mawili ya Maswa Mashariki kwamgombea John Shibuda na Maswa Magharibi kwa Kasulumbayi wote CHADEMAAAA.Mkutano huo umefanyika mjini maswa.Kwa sasa Dr.SLAA yuko angani kuelekea MWANZA kuhutubia mkutano wa hadhara mchana huu.Taarifa zaidi baadae.

TAARIFA ZA KUFURAHISHA NA ZA UHAKIKA NI KWAMBA MZEE mwasisi wa TANU na mwenyekiti wa wilaya ya Maswa wa CCM Mh.Charles Bukoye amehamia CHADEMA TOKA CCM na kwa leo ndiye alikuwa na jukumu la kumkaribisha DR.SLAA kuwahutubia wananchi wa Maswa.

0 comments:

Post a Comment