Friday, October 15, 2010

DR W P SLAA AITIKISA BUKOBA

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Bukoba na vitongoji vyake, katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Uhuru.
Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dk. Willibrod Slaa, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Bukoba, akiwa katika msafara kuelekea katika Uwanja wa Uhuru mjini humo, ambako alifanya mnkutano wa kampeni .Picha kwa hisani ya Joseph Senga.

0 comments:

Post a Comment