Wednesday, October 20, 2010

CHAGUA JOSEPH MBILINYI CHAGUA CHADEMA MBEYA

Mgombea ubunge wa jimbo la Mbeye Mjini kupitia tiketi ya chama cha CHADEMA,Joseph Mbilinyi a.k.a Mr II a.k.a Sugu akiwahutumia maelfu ya wakazi wa Mwanjelwa,Mkonia Mbeya hivi karibuni,hiyo ikiwa ni sehemu yake ya lala salama za kampeni ambazo zinaelekea ukingoni kwa hivi sasa.

0 comments:

Post a Comment