Wednesday, October 20, 2010

Dr. Slaa Jijini Mwanza

Taarifa kutoka Mwanza ni kuwa watu walikuwa wanakusanyika kwaajili ya mkutano wa Dr. Slaa mchana huu lakini polisi ni wengi sana na kazi wanayofanya ni kutawanya watu wote wanaokuja kwenye mkutano.

Mtoa habari anasema mabomu yameshapigwa na watu wametawanyika kabla ya Dr. Slaa kuwasili uwanjani. Mwenye habari zaidi toka Mwanza atujulishe.

Gonga Hapa Kufuatilia habari hii

Dr. Slaa Jijini Mwanza

0 comments:

Post a Comment