Monday, October 18, 2010

Dr Slaa Anahutubia Shinyanga Mjini

Mkutano unafanyikia kwenye viwanja vya Lubaga Joshoni watu ni wengi haijapata kutokea! Watu wamejaa mpaka soko jipya Lubaga. Watu mpaka wa vijiji vya jirani na Manispaa ya Shinyanga wamekuja kwenye mkutano huo.

Yaani watu wameanza kuingia uwanjani tangu saa 5 asubuhi ilhali wakijua mkutano unaanza saa 10 alasri.

0 comments:

Post a Comment