Sunday, October 17, 2010

mwananchi fanya uamuzi sahihi-AMUA!!

Ewe mwananchi fanya uamuzi sahihi-AMUA!!

Ewe mwananchi, makala zimeandikwa, katuni zimechorwa, picha zimepigwa, nyimbo zimeimbwa, hotuba zimetolewa. Hakika ni wakati wako sasa kufanya uamuzi sahihi.

"Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 ni baina ya UADILIFU na UFISADI, baina ya UMAKINI na USANII, baina ya HAKI na DHULUMA, baina ya Dr.Slaa na Kikwete, na kwa Uraisi Chagua Slaa kwa Chama chagua CHADEMA!!"

0 comments:

Post a Comment