Thursday, October 21, 2010

CHAGUA MTELA MWAMPAMBA CHAGUA CHADEMA MBOZI MASHARIKIWananchi wa jimbo la Mbozi Mashariki mkoani Mbeya wakiwa wamefanya maandamano ya furaha kwa kumbeba juu juu mgombea wa chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) Bw Mtela Mwampamba ambaye alionyesha kuitikia wito wa wananchi hao kwa kufika katika mdahalo uliokuwa umeandaliwa na asasi za kiraia mkoa wa Mbeya (Mbengonet) katika ukumbi wa RC Mbozi huku mgombea wa CCM Bw Godfrey Zambi akishindwa kutokea

0 comments:

Post a Comment