Tuesday, October 12, 2010

ZITTO KABWE NA DR W P SLAA WALIPOVAMIA KIGOMA

Mgombea ubungea katika jimbo la Kigoma Kaskazini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe, akimakaribisha mgombea Urais kupitia cha hicho, Dk. Willibrod Slaa, ili ahutubie mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Kasulu mkoani Kigoma
Mgombea ubunge katika jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe, akiwahutubia wananchi wa mji wa Kasulu, katika mkutanowa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, mjini Kasulu
Mgombea urais wa Taznia kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia wananchi wa mji wa Kasulu mkoani kigoma, katika mkutano wa kampeni

Sehemu ya maelfu ya wakazi wa mji wa Kasulu, wakimsiliza mgombea urais wa Tanzaia kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni zake mjini Kasulu (picha zote na Bw.Joseph Senga)

0 comments:

Post a Comment