Sunday, October 24, 2010

DR SLAA ALIVYOITIKISA MONDULI MJINI

Pichani kulia ni mgombea Urais kwa chama cha CHADEMA, Dk Slaa akiwa amesimama na Amani Mollel ambaye ni mgombea ubunge wa jimbo la Monduli kupitia CHADEMA, wakizichambua kadi za wana CCM 46 wa Monduli waliojiunga na cha hicho kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Bomani Polisi, Monduli mjini, mkoani Arusha.
Dk Willibrod Slaa akimpongeza mmoja wa kati ya vijana 46 wa kimasai wa Jimbo la Monduli waliojiunga na chama hicho wakit0kea CCM, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana mjini Monduli, mkoani Arusha
Dk Willibrod Slaa akiwahutubia wakazi wa Monduli mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana Ijumaa asubuhi kwenye Uwanja wa Bomani Polisi mjini humo mkoani Arusha.Picha kwa hisani ya Ansbert Ngurumo.

0 comments:

Post a Comment