Tuesday, October 5, 2010

CHAGUA ROSE KAMILI CHAGUA CHADEMA HANANG

"Rose Kamili Sukum, Mgombea wa Ubunge Jimbo la Hanang kupitia CHADEMA akiwa katika mikutano yake ya kuomba ridhaa kwa wananchi Kata ya Endagaw.
"Rose Kamili Sukum, Mgombea wa Ubunge Jimbo la Hanang kupitia CHADEMA akiwa katika mikutano yake ya kuomba ridhaa kwa wananchi Kata ya Endagaw.

Rose Kamili Sukum anakubalika sana katika jimbo la Hanang na kuisambaratisha kwa kiasi kikubwa ngome ya CCM na kurejesha matumaini kwa wananchi wa Jimbo hilo hususan kwa rekodi yake nzuri ya kiutendaji hivyo kutoa tumaini jipya la mtetezi wa wanyonge na Mbunge mtarajiwa ambaye ataiendeleza Hanang"

0 comments:

Post a Comment