Tuesday, October 5, 2010

DR SLAA AKIWA MBEYA NA SINGIDAMkuu wa wilaya ya Mbarali, Kanali Mstaafu Cosmas Kayombo (aliyeketi kulia), akisikiliza mkutano wa kampeni wa Dk. Willibrod Slaa katika eneo la Chimala mkoani Mbeya.Mgombea ubunge Jimbo la Iringa kwa tiketi ya Chadema, Mchungaji Peter Msigwa akijinadi

0 comments:

Post a Comment