Saturday, October 2, 2010

MAPOKEZI YA DR WP SLAA IRINGA MJINI


Mgombea urais kupitia Chadema Dr Willibrod Slaa akishangaa umati mkubwa wa wakazi wa jimbo la Iringa mjini ambao wamefika katika uwanja wa Mwembetogwa Iringa mjini kumsikiliza katika mendelezo wake wa mikutao ya kampeni za chama hicho ,

Umati wa wananchi wa jimbo la Iringa mjini ambao wapo uwanjani wakimsikiliza Dr.Slaa uwanja huu ambao CCM imekuwa ikifanyia mikutano yake na ndipo mgombea mwenza wa JK Dr Bilal alihuhudia mpasuko wa wana CCM

Ulinzi wa kutosha uwanja wa Mwembetogwa Iringa

0 comments:

Post a Comment