Sunday, October 31, 2010

HABARI/TAARIFA ZA UCHAGUZI TANZANIA 2010

Matokeo yaanza kutangazwa

Matokeo yaanza kutangazwa - ZANZIBAR/PEMBA

TUME YA UCHAGUZI IMEBORONGA

3 comments:

Anonymous said...

Kweli Tanzania sasa imekuwa ni uwanja wa ufisadi mtupu. Huu wizi wa kura unaofanywa na CCM malipo yake yatakuwa ni hapa hapa duniani. Mnadiriki kuweka wataalamu wa Information Technology (IT) na kuwalipa kias cha zaidi ya million 46 kwa siku, huku Watanzania wanaishi maisha duni? Mnalazimisha baadhi ya majimbo km Karagwe atangazwe mbunge wa CCM wakati aliyeshinda ni wa CHADEMA. Nawaalika wananchi wenye uchungu km wangu tupige maombi, hata novena, ili Mungu ajibu kilio chetu. Nina imani, kila aliyepewa ushindi kwa njama hatadumu ktk nafasi hiyo. Ee Mungu sikia kilio chetu tusaidie

Anonymous said...

Baaba Baaba twaita Baba. Ee Mungu wetu uko wapi? Tusaidie wanao tunaokulilia, hasa huu wizi wa kura, kwani wanaolazimisha ushindi hawana nia njema na sisi. Tusaidie Baba shuka ongoza Tanzania. Tunusuru kwenye mikono ya Fisadi Kikwete

Mkereketwa said...

Ewe Kikwete si ukubali tu kwamba watanzania hawakutaki sasa hivi wanamtaka Slaa kndiye mkombozi wao? Unalazimisha kuongoza watu ambao hawakukuchagua huoni kwamba huo ni upuuzi? Achia nchi lile ulilosahau kutufanyia ili tuwe na Maisha bora liache tumeshachagua alimalizie Slaa. Ondokka bwana Kikwete usiliazimishe mambo tukaja tukakuondo duniani. Watu tuna uchungu.

Post a Comment