Thursday, February 17, 2011

Mheshimiwa Zitto kabwe na Lucy Owenya

Waziri kivuliwa Fedha na Uchumi na mbunge wa kigoma kaskazini (CHADEMA) Mheshimiwa Zitto kabwe akibadilishana Mawazo na Waziri kivili Viwanda na Biashara-Chadema Lucy Owenya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma

0 comments:

Post a Comment