Wednesday, February 23, 2011

Chadema Yatoa Msaada Gongo la Mboto

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Victor Kimesela akikabidhi msaada wa shuka 166 kwenye kituo cha Ofisi ya Mtendaji Ukonga kwa ajili ya waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto.Picha na Mdau Bashir Nkromi

0 comments:

Post a Comment